Luka 19:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19212 Na tazama, mtu mmoja, jina lake alikwitwa Zakkayo, mkubwa wa watoza ushuru, nae tajiri: Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Palikuwa na mtu mmoja huko mjini aitwaye Zakayo ambaye alikuwa mkuu wa watozaushuru, na pia mtu tajiri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Palikuwa na mtu mmoja huko mjini aitwaye Zakayo ambaye alikuwa mkuu wa watozaushuru, na pia mtu tajiri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Palikuwa na mtu mmoja huko mjini aitwaye Zakayo ambaye alikuwa mkuu wa watozaushuru, na pia mtu tajiri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Tazama, palikuwa na mtu mmoja mkuu wa watoza ushuru naye alikuwa tajiri, jina lake Zakayo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Tazama, palikuwa na mtu mmoja mkuu wa watoza ushuru naye alikuwa tajiri, jina lake Zakayo. Tazama sura |