Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 19:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Wa kwanza akaja akasema, Bwana, mane yako imepata mane kumi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Mtumishi wa kwanza akatokea, akasema: ‘Bwana, faida iliyopatikana ni mara kumi ya zile fedha ulizonipa.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Mtumishi wa kwanza akatokea, akasema: ‘Bwana, faida iliyopatikana ni mara kumi ya zile fedha ulizonipa.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Mtumishi wa kwanza akatokea, akasema: ‘Bwana, faida iliyopatikana ni mara kumi ya zile fedha ulizonipa.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 “Wa kwanza akaja na kusema, ‘Bwana, kutokana na fedha uliyoniachia, nimepata faida mara kumi zaidi.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 “Wa kwanza akaja na kusema, ‘Bwana, kutokana na fedha uliyoniachia, nimepata faida mara kumi zaidi.’

Tazama sura Nakili

Luka 19:16
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaita watu kumi katika watumishi wake, akawapa mane za fedha kumi, akawaambia, Fanyeni biashara hatta nitakaporudi.

Ikawa aliporejea, baada ya kuupokea ufalme, akatoa amri waitwe wale watumishi aliowapa ile fedha, apate kujua jinsi walivyofanya biashara.

Akasema, Vema, mtumishi mwema, kwa sababu umekuwa mwaminifu kwa kitu kilicho kidogo, bassi, uwe na mamlaka juu ya miji kumi.

Lakini kwa neema ya Mungu nimekuwa nilivyo; na neema yake iliyo kwangu ilikuwa si burre, bali nalizidi sana kushika kazi kupita wao wote; wala si mimi, bali neema ya Mungu pamoja nami.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo