Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 19:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Ikawa aliporejea, baada ya kuupokea ufalme, akatoa amri waitwe wale watumishi aliowapa ile fedha, apate kujua jinsi walivyofanya biashara.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 “Huyo mtu mashuhuri alirudi nyumbani baada ya kufanywa mfalme, na mara akaamuru wale watumishi aliowapa zile fedha waitwe ili aweze kujua kila mmoja amepata faida gani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 “Huyo mtu mashuhuri alirudi nyumbani baada ya kufanywa mfalme, na mara akaamuru wale watumishi aliowapa zile fedha waitwe ili aweze kujua kila mmoja amepata faida gani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 “Huyo mtu mashuhuri alirudi nyumbani baada ya kufanywa mfalme, na mara akaamuru wale watumishi aliowapa zile fedha waitwe ili aweze kujua kila mmoja amepata faida gani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 “Hata hivyo alirudi akiwa amekwisha kupokea mamlaka ya ufalme, akawaita wale watumishi wake aliokuwa amewaachia fedha, ili afahamu ni faida kiasi gani kila mmoja wao aliyopata kwa kufanya biashara.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 “Hata hivyo alirudi akiwa amekwisha kupokea mamlaka ya ufalme, akawaita wale watumishi wake aliokuwa amewaachia fedha, ili afahamu ni faida kiasi gani kila mmoja wao aliyopata kwa kufanya biashara.

Tazama sura Nakili

Luka 19:15
9 Marejeleo ya Msalaba  

Baada ya siku nyingi yuaja bwana wa watumishi wale, akafanya hesabu nao.

na yule asiyejua, nae amefanya yastahiliyo mapigo, atapigwa mapigo machache. Killa aliyepewa vingi kwake huyu vitatakwa vingi: nae waliyemkabidhi vingi, kwake yeye watataka vingi zaidi.

Wenyeji wake wakanichukia, wakatuma wajumbe kumfuata na kusema, Hatutaki mtu huyu atutawale.

Wa kwanza akaja akasema, Bwana, mane yako imepata mane kumi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo