Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 19:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Wenyeji wake wakanichukia, wakatuma wajumbe kumfuata na kusema, Hatutaki mtu huyu atutawale.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Lakini wananchi wenzake walimchukia na hivyo wakatuma wajumbe waende wakaseme: ‘Hatumtaki huyu atutawale.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Lakini wananchi wenzake walimchukia na hivyo wakatuma wajumbe waende wakaseme: ‘Hatumtaki huyu atutawale.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Lakini wananchi wenzake walimchukia na hivyo wakatuma wajumbe waende wakaseme: ‘Hatumtaki huyu atutawale.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 “Lakini raia wa nchi yake walimchukia wakapeleka ujumbe na kusema, ‘Hatutaki huyu mtu awe mfalme wetu.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 “Lakini raiya wa nchi yake walimchukia wakapeleka ujumbe na kusema, ‘Hatutaki huyu mtu awe mfalme wetu.’

Tazama sura Nakili




Luka 19:14
15 Marejeleo ya Msalaba  

Kama sivyo, hutuma ujumbe kutaka sharti za amani, yule mtu akiwa angali mbali.


Akawaita watu kumi katika watumishi wake, akawapa mane za fedha kumi, akawaambia, Fanyeni biashara hatta nitakaporudi.


Ikawa aliporejea, baada ya kuupokea ufalme, akatoa amri waitwe wale watumishi aliowapa ile fedha, apate kujua jinsi walivyofanya biashara.


Walakini wale adui zangu wasiotaka niwatawale, waleteni huku mkawachinje mhele zangu.


Alikuja kwake, nao walio wake hawakumpokea.


Ulimwengu ukiwachukia, mwajua ya kuwa umenichukia mimi kabla ya kuwachukia ninyi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo