Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 19:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Nao wakisikia haya akaongeza akawaambia mfano, kwa sababu alikuwa akikaribia Yerusalemi, nao walidhani ya kuwa ufalme wa Mungu utaonekana marra moja.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Wakati watu walipokuwa bado wanasikiliza hayo, Yesu akawaambia mfano. Hapo alikuwa anakaribia Yerusalemu, na watu wale walidhani kwamba muda si muda, ufalme wa Mungu ungefika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Wakati watu walipokuwa bado wanasikiliza hayo, Yesu akawaambia mfano. Hapo alikuwa anakaribia Yerusalemu, na watu wale walidhani kwamba muda si muda, ufalme wa Mungu ungefika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Wakati watu walipokuwa bado wanasikiliza hayo, Yesu akawaambia mfano. Hapo alikuwa anakaribia Yerusalemu, na watu wale walidhani kwamba muda si muda, ufalme wa Mungu ungefika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Walipokuwa wanasikiliza haya, Isa akaendelea kuwaambia mfano, kwa sababu alikuwa anakaribia Yerusalemu na watu walikuwa wakidhani ya kuwa ufalme wa Mungu ulikuwa unakuja saa hiyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Walipokuwa wanasikiliza haya, Isa akaendelea kuwaambia mfano, kwa sababu alikuwa anakaribia Yerusalemu na watu walikuwa wakidhani ya kuwa Ufalme wa Mwenyezi Mungu ulikuwa unakuja saa iyo hiyo.

Tazama sura Nakili

Luka 19:11
4 Marejeleo ya Msalaba  

Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu waja lini? akawajibu, akasema, Ufalme wa Mungu hauji kwa kupelelezwa.

Ikawa siku za kupandishwa kwake juu zilipokuwa karibu kutimia, yeye mwenyewe akauelekeza nso wake kwenda Yerusalemi.

Bassi walipokutanika, wakamwuliza, wakisema, Bwana, wakati huu ndipo unapomrudishia Israeli ufalme wake?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo