Luka 18:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 Walakini Mwana wa Adamu atakapokuja, je! ataiona imani duniani? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Nawaambieni atawatetea upesi. Hata hivyo, je, kutakuwako na imani duniani wakati Mwana wa Mtu atakapokuja?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Nawaambieni atawatetea upesi. Hata hivyo, je, kutakuwako na imani duniani wakati Mwana wa Mtu atakapokuja?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Nawaambieni atawatetea upesi. Hata hivyo, je, kutakuwako na imani duniani wakati Mwana wa Mtu atakapokuja?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Ninawaambia, atawapatia haki upesi. Lakini je, Mwana wa Adamu atakapokuja ataikuta imani duniani?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Ninawaambia, atawapatia haki upesi. Lakini je, Mwana wa Adamu atakapokuja ataikuta imani duniani?” Tazama sura |