Luka 18:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19216 Bwana akasema, Sikieni asemavyo yule kadhi asiye haki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Basi, Bwana akaendelea kusema, “Sikieni jinsi alivyosema huyo hakimu mbaya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Basi, Bwana akaendelea kusema, “Sikieni jinsi alivyosema huyo hakimu mbaya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Basi, Bwana akaendelea kusema, “Sikieni jinsi alivyosema huyo hakimu mbaya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Bwana Isa akasema, “Sikilizeni asemavyo huyu hakimu dhalimu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Bwana Isa akasema, “Sikilizeni asemavyo huyu hakimu dhalimu. Tazama sura |