Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 18:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 illakini kwa kuwa mjane huyu ameniudhi, nitampatia haki yake, asije akanidhoofisha kwa kunijia daima.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 lakini kwa vile huyu mjane ananisumbua, nitamtetea; la sivyo ataendelea kufika hapa, na mwisho atanichosha kabisa!’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 lakini kwa vile huyu mjane ananisumbua, nitamtetea; la sivyo ataendelea kufika hapa, na mwisho atanichosha kabisa!’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 lakini kwa vile huyu mjane ananisumbua, nitamtetea; la sivyo ataendelea kufika hapa, na mwisho atanichosha kabisa!’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 lakini kwa kuwa huyu mjane ananisumbuasumbua, nitahakikisha amepata haki yake ili asiendelee kunichosha kwa kunijia mara kwa mara!’ ”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 lakini kwa kuwa huyu mjane ananisumbuasumbua, nitahakikisha amepata haki yake ili asiendelee kunichosha kwa kunijia mara kwa mara!’ ”

Tazama sura Nakili

Luka 18:5
9 Marejeleo ya Msalaba  

Nae hakumjibu neno. Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwomba, wakinena. Mwache aende zake; kwa maana anapiga kelele nyuma yetu.

Nawaambieni, Ijapokuwa haondoki ampe kwa kuwa ni rafiki yake, illakini kwa kuwa yule hana haya ataondoka na kumpa yote ahitajiyo.

Na katika mji huo palikuwa na mjane aiiyemwendeaendea, akisema, Nipatie haki yangu, ukaniokoe na adui yangu.

Bassi, waliotangulia wakamkemea, anyamaze; lakini yeye akazidi sana kupiga makelele, Mwana wa Daud, unirehemu.

bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha; isiwe, nikiisha kuwakhubiri wengine, mwenyewe niwe mtu wa kukataliwa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo