Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 18:35 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

35 Ikawa alipokaribia Yeriko, pafikuwa na kipofu, amekaa kando ya njia akiomba.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Wakati Yesu alipokaribia Yeriko, kulikuwa na mtu mmoja kipofu ameketi njiani akiomba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Wakati Yesu alipokaribia Yeriko, kulikuwa na mtu mmoja kipofu ameketi njiani akiomba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Wakati Yesu alipokaribia Yeriko, kulikuwa na mtu mmoja kipofu ameketi njiani akiomba.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Isa alipokuwa anakaribia Yeriko, kipofu mmoja alikuwa ameketi kando ya njia akiomba msaada.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Isa alipokuwa anakaribia Yeriko, kipofu mmoja alikuwa ameketi kando ya njia akiomba msaada.

Tazama sura Nakili

Luka 18:35
9 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta alipokuwa akipanda, nyingine zikaanguka njiani, ndege wakaja wakazila:

Aliposikia makutano yanapita, akauliza khabari, Kuna nini?

AKAINGIA Yeriko akawa akipita katikati yake.

Bassi jirani zake, na wale waliomwona zamani kuwa ni kipofu, wakanena, Je! huyu siye yule aliyekuwa akiomba, ameketi?

Na mtu mmoja aliyekuwa kiwete toka tumboni mwa mama yake alichukuliwa na watu, wakamweka killa siku katika mlango wa hekalu nitwao Mzuri, illi aombe sadaka kwa watu waingiao ndani ya hekalu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo