Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 18:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Na katika mji huo palikuwa na mjane aiiyemwendeaendea, akisema, Nipatie haki yangu, ukaniokoe na adui yangu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Katika mji huohuo, kulikuwa pia na mama mmoja mjane ambaye alimwendea huyo hakimu mara nyingi akimwomba amtetee apate haki yake kutoka kwa adui yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Katika mji huohuo, kulikuwa pia na mama mmoja mjane ambaye alimwendea huyo hakimu mara nyingi akimwomba amtetee apate haki yake kutoka kwa adui yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Katika mji huohuo, kulikuwa pia na mama mmoja mjane ambaye alimwendea huyo hakimu mara nyingi akimwomba amtetee apate haki yake kutoka kwa adui yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Katika mji huo alikuwako mjane mmoja aliyekuwa akija kwake mara kwa mara akimwomba, ‘Tafadhali nipatie haki kati yangu na adui yangu.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Katika mji huo alikuwako mjane mmoja ambaye alikuwa akija kwake mara kwa mara akimwomba, ‘Tafadhali nipatie haki kati yangu na adui yangu.’

Tazama sura Nakili

Luka 18:3
13 Marejeleo ya Msalaba  

Patana na mshtaki wako upesi, wakati uwapo pamoja nae njiani; yule mshtaki asije akakupeleka kwa kadhi, kadhi akakutia mkononi mwa askari, ukatupwa kifungoni.

akasema, Palikuwa na kadhi katika mji fulani; hamchi Mungu wala hajali mtu.

Nae hakukubali muda wa siku kadha wa kadha; khalafu akasema moyoni mwake, Ijapokuwa mimi simchi Mungu wala sijali mtu;

illakini kwa kuwa mjane huyu ameniudhi, nitampatia haki yake, asije akanidhoofisha kwa kunijia daima.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo