Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 18:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Akawaambia, Hakuna mtu aliyeacha nyumba, au wazazi, au ndugu, au mke, au watoto kwa ajili ya ufalme wa Mungu,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Yesu akawaambia, “Kweli nawaambieni, mtu yeyote aliyeacha nyumba au mke au ndugu au wazazi au watoto kwa ajili ya ufalme wa Mungu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Yesu akawaambia, “Kweli nawaambieni, mtu yeyote aliyeacha nyumba au mke au ndugu au wazazi au watoto kwa ajili ya ufalme wa Mungu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Yesu akawaambia, “Kweli nawaambieni, mtu yeyote aliyeacha nyumba au mke au ndugu au wazazi au watoto kwa ajili ya ufalme wa Mungu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Isa akajibu, “Amin, nawaambia, hakuna hata mtu aliyeacha nyumba yake, au mke, au ndugu, au wazazi au watoto kwa ajili ya ufalme wa Mungu

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Isa akajibu, “Amin, nawaambia, hakuna hata mtu aliyeacha nyumba yake, au mke, au ndugu, au wazazi au watoto kwa ajili ya Ufalme wa Mwenyezi Mungu

Tazama sura Nakili

Luka 18:29
7 Marejeleo ya Msalaba  

Bali utafuteni kwanza ufalme wa Mungu, na haki yake; na haya yote mtazidishiwa.

Mwingine akasema, Nimeoa mke, na kwa sababu hii siwezi kuja.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo