Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 18:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Kwa maana ni rakhisi ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Naam, ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano, kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Naam, ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano, kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Naam, ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano, kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Hakika ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko mtu tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Hakika ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko mtu tajiri kuingia katika Ufalme wa Mwenyezi Mungu.”

Tazama sura Nakili




Luka 18:25
5 Marejeleo ya Msalaba  

Nawaambieni tena, Ni rakhisi ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.


Viongozi vipofu, wenye kuchuja mbu na kumeza ngamia.


Kwa maana vipi vyepesi, kusema, Umeondolewa dhambi zako; au kusema, Ondoka, ukaende?


Ni rakhisi ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.


Nao waliposikia, wakasema, Nani, bassi, awezae kuokoka?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo