Luka 18:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192124 Bassi Yesu alipoona ya kuwa amefanya huzuni nyingi, akasema, Kwa shidda gani wenye mali watauingia ufalme wa Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Yesu alipoona akihuzunika hivyo, akasema, “Jinsi gani ilivyo vigumu kwa matajiri kuingia katika ufalme wa Mungu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Yesu alipoona akihuzunika hivyo, akasema, “Jinsi gani ilivyo vigumu kwa matajiri kuingia katika ufalme wa Mungu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Yesu alipoona akihuzunika hivyo, akasema, “Jinsi gani ilivyo vigumu kwa matajiri kuingia katika ufalme wa Mungu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Isa akamtazama, akasema, “Tazama jinsi ilivyo vigumu kwa tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Isa akamtazama, akasema, “Tazama jinsi ilivyo vigumu kwa tajiri kuingia katika Ufalme wa Mwenyezi Mungu! Tazama sura |