Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 18:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Wazijua amri, Usizini, Usiue, Usiibe, Usishuhudu uwongo, Waheshimu baba yako na mama yako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Unazijua amri: ‘Usizini; Usiue; Usiibe; Usitoe ushahidi wa uongo; Waheshimu baba yako na mama yako.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Unazijua amri: ‘Usizini; Usiue; Usiibe; Usitoe ushahidi wa uongo; Waheshimu baba yako na mama yako.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Unazijua amri: ‘Usizini; Usiue; Usiibe; Usitoe ushahidi wa uongo; Waheshimu baba yako na mama yako.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Unazijua amri: ‘Usizini, usiue, usiibe, usishuhudie uongo, waheshimu baba yako na mama yako.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Unazijua amri: ‘Usizini, usiue, usiibe, usishuhudie uongo, waheshimu baba yako na mama yako.’ ”

Tazama sura Nakili




Luka 18:20
15 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akamwambia, Mbona waniita mwema? Hakuna mwema illa mmoja ndiye Mungu.


Akasema, Haya yote nimeyashika tangu ujana wangu.


Maana ile, Usizini, Usiue, Usiibe, Usishududu uwongo, Usitamani; na ikiwapo amri nyingine yo yote, inajumlishwa katika neno hili, ya kwamba, Mpende jirani wako kama nafsi yako.


kwa maana hapana mwenye mwili atakaehesabiwa kuwa na haki mbele za Mungu, kwa matendo ya sheria: kwa maanii kujua dhambi kabisa huja kwa njia ya sharia.


Waheshimu baba yako na mama yako (amri hii ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi),


Ninyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote; maana jamlio hili lapendeza katika Bwana.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo