Luka 18:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19212 akasema, Palikuwa na kadhi katika mji fulani; hamchi Mungu wala hajali mtu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Alisema: “Katika mji mmoja kulikuwa na hakimu ambaye hakuwa anamcha Mungu wala kumjali binadamu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Alisema: “Katika mji mmoja kulikuwa na hakimu ambaye hakuwa anamcha Mungu wala kumjali binadamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Alisema: “Katika mji mmoja kulikuwa na hakimu ambaye hakuwa anamcha Mungu wala kumjali binadamu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Akawaambia, “Katika mji mmoja palikuwa hakimu ambaye hakumwogopa Mungu wala kumjali mtu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Akawaambia, “Katika mji mmoja alikuwepo hakimu ambaye hakumwogopa Mwenyezi Mungu wala kumjali mtu. Tazama sura |