Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 18:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Bali Yesu akawaita waje kwake, akisema, Waacheni watoto waje kwangu, kwa maana watu kama hawo ufalme wa Mungu ni wao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Lakini Yesu akawaita kwake akisema: “Waacheni hao watoto waje kwangu, wala msiwazuie, kwa maana ufalme wa Mungu ni kwa ajili ya watu kama hawa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Lakini Yesu akawaita kwake akisema: “Waacheni hao watoto waje kwangu, wala msiwazuie, kwa maana ufalme wa Mungu ni kwa ajili ya watu kama hawa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Lakini Yesu akawaita kwake akisema: “Waacheni hao watoto waje kwangu, wala msiwazuie, kwa maana ufalme wa Mungu ni kwa ajili ya watu kama hawa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Lakini Isa akawaita wale watoto waje kwake, akasema, “Waacheni watoto wadogo waje kwangu, wala msiwazuie, kwa maana ufalme wa Mungu ni wa wale walio kama hawa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Lakini Isa akawaita wale watoto waje kwake, akasema, “Waacheni watoto wadogo waje kwangu, wala msiwazuie, kwa maana Ufalme wa Mwenyezi Mungu ni wa wale walio kama hawa.

Tazama sura Nakili




Luka 18:16
14 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Yesu akasema, Waacheni vitoto, wala msiwakataze kuja kwangu; kwa maana walio mfano wa hawo, ufalme wa mbinguni ni wao.


Bassi wakamletea hatta watoto wachanga illi awaguse; lakini wanafunzi wake walipoona wakawakaripia.


Amin, nawaambieni, Yeye yote asiyeukubali ufalme wa Mungu kama mtoto, hatauingia kamwe.


Kwa kuwa ahadi hii ni kwa ajili yenu, na watoto wenu, na watu wote walio mbali, na wote watakaoitwa na Bwana Mungu wetu.


Ndugu, msiwe watoto katika akili zenu; illakini katika uovu mwe watoto wachanga, bali katika akili zenu mwe watu wazima.


Kwa maana yule mume asiyeamini hutakaswa kwa mkewe; na yule mke asiyeamini hutakaswa kwa mumewe; kama isingekuwa bivyo, watoto wenu wangekuwa si safi; bali sasa ni watakatifu.


kama watoto wachanga waliozaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili yasiyoghoshiwa, illi kwa hayo mpate kunkulia wokofu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo