Luka 18:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192115 Bassi wakamletea hatta watoto wachanga illi awaguse; lakini wanafunzi wake walipoona wakawakaripia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awawekee mikono yake. Wanafunzi walipowaona, wakawazuia kwa maneno makali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awawekee mikono yake. Wanafunzi walipowaona, wakawazuia kwa maneno makali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awawekee mikono yake. Wanafunzi walipowaona, wakawazuia kwa maneno makali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Pia, watu walikuwa wakimletea Isa watoto wachanga ili awaguse. Wanafunzi wake walipoona hivyo, wakawakemea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Pia, watu walikuwa wakimletea Isa watoto wachanga ili awaguse. Wanafunzi wake walipoona hivyo, wakawakemea. Tazama sura |