Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 18:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Watu wawili walipanda hekaluni kusali; mmoja Farisayo, wa pili mtoza ushuru.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 “Watu wawili walipanda kwenda hekaluni kusali: Mmoja Mfarisayo, na mwingine mtozaushuru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 “Watu wawili walipanda kwenda hekaluni kusali: Mmoja Mfarisayo, na mwingine mtozaushuru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 “Watu wawili walipanda kwenda hekaluni kusali: mmoja Mfarisayo, na mwingine mtozaushuru.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 “Watu wawili walienda Hekaluni kusali, mmoja wao alikuwa Farisayo na mwingine alikuwa mtoza ushuru.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 “Watu wawili walikwenda Hekaluni kusali, mmoja wao alikuwa Farisayo na mwingine alikuwa mtoza ushuru.

Tazama sura Nakili




Luka 18:10
13 Marejeleo ya Msalaba  

Filipo, na Bartolomayo, na Tomaso, na Mattayo mtoza ushuru; Yakobo wa Alfayo, na Lebbayo, aliyekwitwa Thaddayo;


Imeandikwa, Nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala; bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyangʼanyi.


wakinijua sana tangu mwanzo, kama wakipenda kushuhudia, ya kwamba nalikuwa Farisayo kwa kuifuata madhehebu ya dini yetu iliyo sahihi kabisa.


BASSI Petro na Yohana walikuwa wakipanda pamoja kwenda hekaluni, saa ya kusali, saa tissa.


Nalitabiriwa siku ya nane, ni lutu wa taifa la Israeli, wa kabila ya Benjamin, Mwebrania wa Waebrania, kwa khabari ya kuifuata sharia, Farisayo, kwa khabari ya wivu, mwenye kuliudhi Kanisa,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo