Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 18:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 AKAWAAMBIA na mfano ya kama imewapasa kumwomba Mungu siku zote wala wasikate tamaa,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Basi, Yesu aliwasimulia mfano kuonesha kwamba ni lazima kusali daima bila kukata tamaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Basi, Yesu aliwasimulia mfano kuonesha kwamba ni lazima kusali daima bila kukata tamaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Basi, Yesu aliwasimulia mfano kuonesha kwamba ni lazima kusali daima bila kukata tamaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Kisha Isa akawapa wanafunzi wake mfano ili kuwaonesha kuwa yawapasa kuomba pasipo kukata tamaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Kisha Isa akawapa wanafunzi wake mfano ili kuwaonyesha kuwa yawapasa kuomba pasipo kukata tamaa.

Tazama sura Nakili




Luka 18:1
26 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa sababu killa aombae hupewa: nae atafutae hupata: nae abishae hufunguliwa.


Kwa hiyo kesheni killa wakati, mkiomba mpate kuhesabiwa kuwa mmestahili kuponea haya yote yatakayokuwa, na kusimama mahali penu mbele ya Mwana wa Adamu.


kwa tumaini, mkifurahi; katika shidda, mkivumilia; katika kusali, mkidumu;


KWA sababu hiyo, kwa kuwa tuna khuduma hii, kwa jinsi tulivyorehemiwa, hatulegei;


Na tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia.


kwa sala zote na kuomha mkisali killa wakati katika Roho, mkikesha kwa jambo hilo, mkifanya juhudi sana, na kuwaombea watakatifu wote,


Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika killa neno kwa kusali na kuomba pamoja na kushukuru haja zenu zijulike kwa Mungu.


Epafra, aliye mtu wa kwenu, mtumwa wa Yesu Kristo, awasalimu, akifanya bidii siku zote kwa ajili yenu, katika maombi yake msimame wakamilifu mkathuhutike sana katika mapenzi yote ya Mungu.


Dumuni sana katika kuomba, mkikesha katika kuomba huku na shukrani,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo