Luka 17:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192128 Vivyo hivyo kama ilivyokuwa siku za Lut: walikuwa wakila, wakinywa, wakimmua, wakiuza, wakipanda, wakijenga; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Itakuwa kama ilivyotokea wakati wa Loti. Watu waliendelea kula na kunywa, kununua na kuuza, kupanda mbegu na kujenga. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Itakuwa kama ilivyotokea wakati wa Loti. Watu waliendelea kula na kunywa, kununua na kuuza, kupanda mbegu na kujenga. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Itakuwa kama ilivyotokea wakati wa Loti. Watu waliendelea kula na kunywa, kununua na kuuza, kupanda mbegu na kujenga. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 “Ndivyo ilivyokuwa katika siku za Lutu: Watu walikuwa wakila na kunywa, wakinunua na kuuza, wakilima na kujenga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 “Ndivyo ilivyokuwa katika siku za Lutu: Watu walikuwa wakila na kunywa, wakinunua na kuuza, wakilima na kujenga. Tazama sura |