Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 17:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Walikuwa wakila, wakinywa, wakioa, wakiozwa, hatta siku ile aliyoingia Nuhu katika safina, gbarika ikafika, ikawaangamiza wote.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Watu waliendelea kula na kunywa, kuoa na kuolewa mpaka wakati ule Noa alipoingia katika safina. Gharika ikatokea na kuwaangamiza wote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Watu waliendelea kula na kunywa, kuoa na kuolewa mpaka wakati ule Noa alipoingia katika safina. Gharika ikatokea na kuwaangamiza wote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Watu waliendelea kula na kunywa, kuoa na kuolewa mpaka wakati ule Noa alipoingia katika safina. Gharika ikatokea na kuwaangamiza wote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Watu walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, hadi siku ile Nuhu alipoingia katika safina. Ndipo gharika ikaja na kuwaangamiza wote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Watu walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, mpaka siku ile Nuhu alipoingia katika safina. Ndipo gharika ikaja na kuwaangamiza wote.

Tazama sura Nakili

Luka 17:27
16 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaozwi, bali huwa kama malaika wa Mungu mbinguni.

Na kama ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo itakavyokuwa na katika siku za Mwana wa Adamu.

Vivyo hivyo kama ilivyokuwa siku za Lut: walikuwa wakila, wakinywa, wakimmua, wakiuza, wakipanda, wakijenga;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo