Luka 17:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192123 Na watawaambieni, Tazama huko, au tazama huko! Msiondoke hapo mlipo wala msiwafuate. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Na watu watawaambieni: ‘Tazameni, yuko pale!’ Au ‘Tazameni, yupo hapa!’ Lakini nyinyi msitoke wala msiwafuate. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Na watu watawaambieni: ‘Tazameni, yuko pale!’ Au ‘Tazameni, yupo hapa!’ Lakini nyinyi msitoke wala msiwafuate. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Na watu watawaambieni: ‘Tazameni, yuko pale!’ au ‘Tazameni, yupo hapa!’ lakini nyinyi msitoke wala msiwafuate. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Watu watawaambia, ‘Yule kule!’ au, ‘Huyu hapa!’ Msiwakimbilie. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Watu watawaambia, ‘Yule kule!’ Au, ‘Huyu hapa!’ Msiwakimbilie. Tazama sura |