Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 17:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Akawaambia wanafunzi wake, Siku zitakuja mtakapotamani kuona siku mojawapo ya siku za Mwana wa Adamu wala hamtaiona.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Halafu akawaambia wanafunzi wake, “Siku zinakuja ambapo mtatamani kuona mojawapo ya siku za Mwana wa Mtu, lakini hamtaiona.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Halafu akawaambia wanafunzi wake, “Siku zinakuja ambapo mtatamani kuona mojawapo ya siku za Mwana wa Mtu, lakini hamtaiona.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Halafu akawaambia wanafunzi wake, “Siku zinakuja ambapo mtatamani kuona mojawapo ya siku za Mwana wa Mtu, lakini hamtaiona.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Kisha Isa akawaambia wanafunzi wake, “Wakati utafika ambapo mtatamani kuiona moja ya siku ya Mwana wa Adamu, lakini hamtaiona.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Kisha Isa akawaambia wanafunzi wake, “Wakati utafika ambapo mtatamani kuiona moja ya siku ya Mwana wa Adamu, lakini hamtaiona.

Tazama sura Nakili

Luka 17:22
11 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akawaambia, Wana wa arusi wawezaje kuomboleza, maadam Bwana arusi yupo pamoja nao? Lakini siku zitakuja atakapoondolewa bwana arusi; udipo watakapofunga.

Lakini siku zitakuja atakapoondolewa Bwana arusi, ndipo watakapofunga siku zile.

Angalieni, nyumba yenu imeachwa ukiwa. Amin, nawaambieni, Hamtaniona kabisa hatta wakati ule mtakaposema, Amebarikiwa yeye ajae kwa jina la Bwana.

Lakini siku zitakuja watakapoondolewa Bwana arusi, ndipo watakapofunga siku zile.

Bassi Yesu akawaambia, Nuru ingali pamoja nanyi muda kitambo. Enendeni maadam mnayo ile nuru, giza lisije likawaweza; nae aendae gizani hajui aendako.

Enyi watoto wachanga, bado kitambo kidogo nipo pamoja nanyi; mtanitafuta: na kama nilivyowaambia Wayahudi, ya kama, Mimi niendako ninyi hamwezi kuja: sasa nawaambia na ninyi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo