Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 17:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu waja lini? akawajibu, akasema, Ufalme wa Mungu hauji kwa kupelelezwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Wakati mmoja, Mafarisayo walimwuliza Yesu, “Ufalme wa Mungu utakuja lini?” Naye akawajibu, “Ufalme wa Mungu hauji kwa namna itakayoweza kuonekana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Wakati mmoja, Mafarisayo walimwuliza Yesu, “Ufalme wa Mungu utakuja lini?” Naye akawajibu, “Ufalme wa Mungu hauji kwa namna itakayoweza kuonekana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Wakati mmoja, Mafarisayo walimwuliza Yesu, “Ufalme wa Mungu utakuja lini?” Naye akawajibu, “Ufalme wa Mungu hauji kwa namna itakayoweza kuonekana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Isa alipoulizwa na Mafarisayo ufalme wa Mungu utakuja lini, yeye akawajibu, “Ufalme wa Mungu hauji kwa kuchunguza kwa bidii,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Isa alipoulizwa na Mafarisayo Ufalme wa Mwenyezi Mungu utakuja lini, yeye akawajibu, “Ufalme wa Mwenyezi Mungu hauji kwa kuchunguza kwa bidii,

Tazama sura Nakili




Luka 17:20
9 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta mavumbi haya ya mji wenu, yaliyogandamana nasi, twayakungʼuta juu yenu: illakini jueni haya, ya kuwa ufalme wa Mungu umewakaribieni.


IKAWA, Yesu alipoingia katika nyumba ya mtu mmoja, mtu mkuu katika Mafarisayo, siku ya sabato, ale chakula, walikuwa wakimvizia.


Torati na manabii zilikuwako mpaka Yohana. Tangu wakati ule, khabari njema ya ufalme wa Mungu inakhubiriwa, na killa mtu anauingia kwa nguvu.


Nao wakisikia haya akaongeza akawaambia mfano, kwa sababu alikuwa akikaribia Yerusalemi, nao walidhani ya kuwa ufalme wa Mungu utaonekana marra moja.


Yesu akajibu, Ufalme wangu sio wa ulimwengu huu, kama ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu huu: watumishi wangu wangalinipigania, nisije nikatiwa mikononi mwa Wayahudi: lakini sasa ufalme wangu sio wa hapa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo