Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 17:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Akamwambia, Simama; enenda zako; imani yako imekuokoa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Halafu akamwambia huyo mtu, “Simama, uende zako; imani yako imekuponya.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Halafu akamwambia huyo mtu, “Simama, uende zako; imani yako imekuponya.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Halafu akamwambia huyo mtu, “Simama, uende zako; imani yako imekuponya.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Isa akamwambia, “Inuka na uende zako, imani yako imekuponya.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Isa akamwambia, “Inuka na uende zako, imani yako imekuponya.”

Tazama sura Nakili




Luka 17:19
6 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akageuka, akamwona, akamwambia, Jipe moyo mkuu, binti yangu; imani yako imekuponya. Yule mwanamke akapona tangu saa ile.


Yesu akamwambia, Enenda zako, imani yako imekuponya. Marra akapata kuona tena; akafuata Yesu njiani.


Akamwambia, Binti imani yako imekuponya, enenda zako kwa amani, ukawe mzima, usiwe na msiba wako tena.


Yesu akamwambia, Upewe kuona imani yako imekuponya.


Akamwambia yule mwanamke, Imani yako imekuokoa; enenda zako kwa amani.


Akamwambia. Jipe moyo mkuu, binti, imani yako imekuponya; enenda zako kwa amani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo