Luka 17:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192115 Mmoja wao akiona ya kuwa amepona, akarudi akimtukuza Mungu kwa sauti kuu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Mmoja wao alipoona kwamba ameponywa, alirudi akimtukuza Mungu kwa sauti kubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Mmoja wao alipoona kwamba ameponywa, alirudi akimtukuza Mungu kwa sauti kubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Mmoja wao alipoona kwamba ameponywa, alirudi akimtukuza Mungu kwa sauti kubwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Mmoja wao alipoona kwamba amepona, akarudi kwa Isa, akimsifu Mungu kwa sauti kuu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Mmoja wao alipoona kwamba amepona, akarudi kwa Isa, akimsifu Mungu kwa sauti kuu. Tazama sura |