Luka 17:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192114 Alipowaona, akawaambia, Enendeni, mkajionyeshe kwa makuhani. Ikawa katika kwenda kwao wakatakasika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajioneshe kwa makuhani.” Basi, ikawa walipokuwa wanakwenda, wakatakasika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajioneshe kwa makuhani.” Basi, ikawa walipokuwa wanakwenda, wakatakasika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajioneshe kwa makuhani.” Basi, ikawa walipokuwa wanakwenda, wakatakasika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajioneshe kwa makuhani.” Nao walipokuwa njiani wakienda, wakatakasika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajionyeshe kwa makuhani.” Nao walipokuwa njiani wakienda, wakatakasika. Tazama sura |