Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 17:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 nao wakapaaza sauti zao wakisema, Yesu, Bwana, uturehemu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Wakapaza sauti wakisema, “Yesu Mwalimu, tuonee huruma!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Wakapaza sauti wakisema, “Yesu Mwalimu, tuonee huruma!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Wakapaza sauti wakisema, “Yesu Mwalimu, tuonee huruma!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 wakapaza sauti, wakasema, “Isa, Bwana, tuhurumie!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 wakapaza sauti, wakasema, “Isa, Bwana, tuhurumie!”

Tazama sura Nakili




Luka 17:13
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na mwanamke Mkauanaya wa mipaka ile akatokea, akampaazia sauti, akinena, Unirehemu. Bwana, Mwana wa Daud; binti yangu amepagawa sana na pepo.


Yesu alipokuwa anaondoka kutoka huko, vipofu wawili wakamfuata wakipaaza sauti, wakinena. Uturehemu, Ee mwana wa Daud.


Na marra nyingi amemtupa katika moto, na katika maji, amwangamize; lakini ukiweza neno, utuhurumie, utusaidie.


Alipowaona, akawaambia, Enendeni, mkajionyeshe kwa makuhani. Ikawa katika kwenda kwao wakatakasika.


Simon akajibu, akasema, Bwana, tulisumbuka usiku kucha, tusipate kitu: illakini kwa neno lako nitazishusha nyavu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo