Luka 17:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192111 Ikawa walipokuwa njiani kwenda Yerusalemi, alikuwa akipita kati ya Samaria na Galilaya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Yesu akiwa safarini kwenda Yerusalemu alipitia katika mipaka ya Samaria na Galilaya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Yesu akiwa safarini kwenda Yerusalemu alipitia katika mipaka ya Samaria na Galilaya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Yesu akiwa safarini kwenda Yerusalemu alipitia katika mipaka ya Samaria na Galilaya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Isa alipokuwa njiani akienda Yerusalemu, alipitia mpakani mwa Samaria na Galilaya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Isa alipokuwa njiani akienda Yerusalemu, alipitia mpakani mwa Samaria na Galilaya. Tazama sura |