Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 17:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Kadhalika na ninyi, mkiisha kufanya vyote mlivyoamriwa, semeni, Sisi watumishi wasiofaa; tumetenda yaliyotupasa kutenda.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Hali kadhalika na nyinyi mkisha fanya yote mliyoamriwa, semeni: ‘Sisi ni watumishi tusio na faida, tumetimiza tu yale tuliyotakiwa kufanya.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Hali kadhalika na nyinyi mkisha fanya yote mliyoamriwa, semeni: ‘Sisi ni watumishi tusio na faida, tumetimiza tu yale tuliyotakiwa kufanya.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Hali kadhalika na nyinyi mkisha fanya yote mliyoamriwa, semeni: ‘Sisi ni watumishi tusio na faida, tumetimiza tu yale tuliyotakiwa kufanya.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Vivyo hivyo nanyi mkishafanya mliyoagizwa, semeni, ‘Sisi tu watumishi tusiostahili; tumefanya tu yale tuliyopaswa kufanya.’ ”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Vivyo hivyo nanyi mkiisha kufanya mliyoagizwa, semeni, ‘Sisi tu watumishi tusiostahili; tumefanya tu yale tuliyopaswa kufanya.’ ”

Tazama sura Nakili

Luka 17:10
20 Marejeleo ya Msalaba  

Na mtumishi yule asiyefaa, mtupeni mbali katika giza ya nje; huko kutakuwa kilio na kusaga meno.

Ikawa walipokuwa njiani kwenda Yerusalemi, alikuwa akipita kati ya Samaria na Galilaya.

Je! amshukuru yule mtumishi kwa sahahu alifanya alivyoamriwa? Sidhani.

Au ni nani aliyempa yeye kitu kwanza, nae atalipwa?

Wote wamepotoka, wameoza wote pia; Hakuna mtenda mema hatta mmoja:

ambae zamani allkuwa hakufai, hali sasa akufaa saua, wewe na mimi pia;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo