Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 16:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Akiisha, akamwambia mwingine, Na wewe wawiwani? Akasema, Mikanda mia ya nganu. Akamwambia, Twaa khati yako, andika themanini.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Kisha akamwuliza mdeni mwingine: ‘Wewe unadaiwa kiasi gani?’ Yeye akamjibu: ‘Magunia 100 ya ngano.’ Yule karani akamwambia: ‘Chukua hati yako ya deni, andika themanini.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Kisha akamwuliza mdeni mwingine: ‘Wewe unadaiwa kiasi gani?’ Yeye akamjibu: ‘Magunia 100 ya ngano.’ Yule karani akamwambia: ‘Chukua hati yako ya deni, andika themanini.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Kisha akamwuliza mdeni mwingine: ‘Wewe unadaiwa kiasi gani?’ Yeye akamjibu: ‘Magunia 100 ya ngano.’ Yule karani akamwambia: ‘Chukua hati yako ya deni, andika themanini.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 “Kisha akamuuliza wa pili, ‘Wewe deni lako ni kiasi gani?’ “Akajibu, ‘Vipimo elfu moja vya ngano.’ “Yule msimamizi akamwambia, ‘Chukua hati yako, uandike vipimo mia nane!’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 “Kisha akamuuliza wa pili, ‘Wewe deni lako ni kiasi gani?’ “Akajibu, ‘Vipimo 1,000 vya ngano.’ “Yule msimamizi akamwambia, ‘Chukua hati yako, andika vipimo 800!’

Tazama sura Nakili

Luka 16:7
7 Marejeleo ya Msalaba  

Mtumishi yule akatoka, akamwona mmoja wa wajoli wake, aliyewiwa nae dinari mia; akamkamata, akamshika koo, akinena, Nilipe uwiwacho.

Akasema, Tanaki mia za mafuta. Akamwambia, Twaa khati yako; haya, kaa kitako, andika khamsini.

Yule bwana akamsifu wakili asiye haki, kwa kuwa alitenda kwa busara: kwa maana wana wa zamani hizi wana busara kuliko wana wa nuru, katika kizazi chao wenyewe.

nae mjane wa miaka themanini na mine; asiyeondoka hekaluni, kwa kufunga na kusali akiabudu usiku na mchana.

Akaongeza akampeleka wa tatu, wakamtia jeraha, wakamfukuza.

Akaanza kuwaambia watu mfano huu: Mtu alipanda mizabibu, akapangisha wakulima, akaenda inchi nyingine kwa muda wa siku nyingi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo