Luka 16:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19215 Bassi akawaita wadeni wa bwana wake killa mmoja, akamwambia wa kwanza, Wawiwani na bwana wangu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Basi, akawaita wadeni wa bwana wake, mmojammoja, akamwambia yule wa kwanza: ‘Unadaiwa kiasi gani na bwana wangu?’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Basi, akawaita wadeni wa bwana wake, mmojammoja, akamwambia yule wa kwanza: ‘Unadaiwa kiasi gani na bwana wangu?’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Basi, akawaita wadeni wa bwana wake, mmojammoja, akamwambia yule wa kwanza: ‘Unadaiwa kiasi gani na bwana wangu?’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 “Kwa hiyo akawaita wadeni wote wa bwana wake, mmoja mmoja. Akamuuliza wa kwanza, ‘Deni lako kwa bwana wangu ni kiasi gani?’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 “Kwa hiyo akawaita wadeni wote wa bwana wake, mmoja mmoja. Akamuuliza wa kwanza, ‘Deni lako kwa bwana wangu ni kiasi gani?’ Tazama sura |