Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 16:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

31 Akamwambia, Wasiposikia Musa na manabii, ajapoondoka mtu katika wafu, hawatashawishwa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Naye Abrahamu akasema: ‘Kama hawawasikilizi Mose na manabii, hawatajali hata kama mtu angefufuka kutoka kwa wafu.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Naye Abrahamu akasema: ‘Kama hawawasikilizi Mose na manabii, hawatajali hata kama mtu angefufuka kutoka kwa wafu.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Naye Abrahamu akasema: ‘Kama hawawasikilizi Mose na manabii, hawatajali hata kama mtu angefufuka kutoka kwa wafu.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 “Ibrahimu akamwambia, ‘Kama wasipowasikiliza Musa na Manabii, hawataweza kushawishika hata kama mtu akifufuka kutoka kwa wafu.’ ”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 “Ibrahimu akamwambia, ‘Kama wasipowasikiliza Musa na Manabii, hawataweza kushawishika hata kama mtu akifufuka kutoka kwa wafu.’ ”

Tazama sura Nakili

Luka 16:31
11 Marejeleo ya Msalaba  

Akasema, La, baba Ibrahimu, lakini akienda kwao mmoja kutoka wafu watatubu.

AKAWAAMBIA wanafunzi wake, Mambo ya kukosesha hayana buddi kutokea, lakini ole wake mtu yule ayaletae!

Illakini msipoyaamini maandiko yake, mtayaaminije maneno yangu?

Akaingia ndani ya sunagogi, akanena kwa ujasiri, akihujiana na watu kwa muda wa miezi mitatu, na kuwavuta waamini mambo ya ufalme wa Mungu.

Agrippa akamwambia Paolo, Kwa maneno machache wataka kunifanya kuwa Mkristo.

Wakiislia kuwekana kwa siku, wakaja kwake nyumbani kwake, watu wengi sana, akawaeleza kwa taratibu na kuushuhudia ufalme wa Mungu, akiwaonya mambo yake Yesu, kwa maneno ya sharia ya Musa na ya manabii, tangu assubuhi hatta jioni.

Ijapokuwa injili yetu imesetirika, imesetirika kwao wanaopotea;

Bassi tukiijua khofu ya Bwana, twawavuta wana Adamu; lakini tumedhihirishwa mbele za Mungu. Nami natumaini ya kuwa tunadhihirishwa katika dhamiri zenu pia.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo