Luka 16:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192118 Killa amwachae mkewe na kumwoa mwingine, amezini; nae amwoae yeye aliyeachwa na mumewe azini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 “Yeyote anayempa mkewe talaka na kuoa mwingine, anazini; na yeyote anayemwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 “Yeyote anayempa mkewe talaka na kuoa mwingine, anazini; na yeyote anayemwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 “Yeyote anayempa mkewe talaka na kuoa mwingine, anazini; na yeyote anayemwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 “Mtu yeyote amwachaye mkewe na kumwoa mwanamke mwingine anazini, naye mwanaume amwoaye mwanamke aliyetalikiwa anazini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 “Mtu yeyote amwachaye mkewe na kumwoa mwanamke mwingine anazini, naye mwanaume amwoaye mwanamke aliyetalikiwa anazini. Tazama sura |