Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 15:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Bassi, aionapo, huwaita shoga zake na jirani zake, hunena, Furahini pamoja nami, kwa maana nimeiona ile mpia niliyoipoteza.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Akiipata, atawaita rafiki na jirani zake na kusema, ‘Furahini pamoja nami, kwa sababu nimeipata ile sarafu yangu iliyopotea.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Akiipata, atawaita rafiki na jirani zake na kusema, ‘Furahini pamoja nami, kwa sababu nimeipata ile sarafu yangu iliyopotea.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Akiipata, atawaita rafiki na jirani zake na kusema, ‘Furahini pamoja nami, kwa sababu nimeipata ile sarafu yangu iliyopotea.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Baada ya kuipata, yeye huwaita rafiki zake na majirani na kuwaambia, ‘Furahini pamoja nami; nimeipata ile sarafu yangu ya fedha iliyopotea.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Naye akiisha kuipata, huwaita rafiki zake na majirani na kuwaambia, ‘Furahini pamoja nami; nimeipata ile sarafu yangu ya fedha iliyopotea.’

Tazama sura Nakili

Luka 15:9
4 Marejeleo ya Msalaba  

Wakasikia jirani zake na jamaa zake ya kwamba Bwana amemwongezea rehema zake; wakafurahiwa pamoja nae.

Kadhalika nawaambia ninyi, iko furaha mbele ya malaika zake Mungu kwa mwenye dhambi mmoja atubuye.

Ama mwanamke gani aliye na rupia kumi, akipotewa na rupia mmoja, asiyewasha taa, na kuifagia nyumba, akitatuta kwa bidii, hatta atakapoiona?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo