Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 15:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Mtu gani wenu aliye na kondoo mia, akipotewa na mmoja, asiyewaacha wale tissa na tissaini jangwani, na kumwendea yule aliyepotea, hatta atakapomwona?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 “Hivi, mmoja wenu akiwa na kondoo 100, akigundua kwamba mmoja wao amepotea, atafanya nini? Atawaacha wale tisini na tisa mbugani, na kwenda kumtafuta yule aliyepotea mpaka ampate.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 “Hivi, mmoja wenu akiwa na kondoo 100, akigundua kwamba mmoja wao amepotea, atafanya nini? Atawaacha wale tisini na tisa mbugani, na kwenda kumtafuta yule aliyepotea mpaka ampate.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 “Hivi, mmoja wenu akiwa na kondoo 100, akigundua kwamba mmoja wao amepotea, atafanya nini? Atawaacha wale tisini na tisa mbugani, na kwenda kumtafuta yule aliyepotea mpaka ampate.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 “Ikiwa mmoja wenu ana kondoo mia moja, naye akapoteza mmoja wao, je, hawaachi wale tisini na tisa nyikani na kwenda kumtafuta huyo aliyepotea hadi ampate?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 “Ikiwa mmoja wenu ana kondoo mia moja, naye akapoteza mmoja wao, je, hawaachi wale tisini na tisa nyikani na kwenda kumtafuta huyo aliyepotea mpaka ampate?

Tazama sura Nakili

Luka 15:4
19 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaambia, Ni mtu yupi miongoni mwenu mwenye kondoo mmoja, yule kondoo akatumbukia shimoni siku ya sabato, asiyemshika akamwondosha?

Bassi Bwana akamjibu, akasema, Ewe mnafiki, killa mmoja wenu je! hamfungui ngʼombe wake au punda wake mazizini siku ya sabato, akaenda nae kumnywesha?

Akawaambia mfano huu, akisema,

Kwa maana Mwana wa Adamu alikuja illi kutafuta kilichopotea na kukiokoa.

KWA hiyo, ee mtu uhukumuye uwae yote, huna udhuru; kwa maana katika hayo uhukumuyo mwingine wajihukumu nafsi yako; kwa maana wewe uhukumuye unafanya yale yale.

Kwa maana mlikuwa kama kondoo wanaopotea; lakini sasa mmemrudia Mchunga na Askofu wa roho zenu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo