Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 15:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 Bali alipokuja mwana wako huyo, aliyekula vitu vyako pamoja na makahaba, umemchinjia yeye ndama aliyenona.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Lakini mtoto wako huyu aliyekula mali yako pamoja na makahaba, mara tu alipokuja umemchinjia yule ndama mnono.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Lakini mtoto wako huyu aliyekula mali yako pamoja na makahaba, mara tu alipokuja umemchinjia yule ndama mnono.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Lakini mtoto wako huyu aliyekula mali yako pamoja na makahaba, mara tu alipokuja umemchinjia yule ndama mnono.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Lakini huyu mwanao ambaye ametapanya mali yako kwa makahaba aliporudi nyumbani, wewe umemchinjia ndama aliyenona!’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Lakini huyu mwanao ambaye ametapanya mali yako kwa makahaba aliporudi nyumbani, wewe umemchinjia ndama aliyenona!’

Tazama sura Nakili

Luka 15:30
10 Marejeleo ya Msalaba  

maana hawa wote walitia baadhi ya mali iliyowazidi: bali huyu katika mahitaji yake ametia vyote alivyokuwa navyo, ndio maisha yake yote pia.

Akamjibu baba yake akamwambia, Tazama, mimi nimekutumikia hii miaka mingapi: wala sikukhalifu amri yako wakati wo wote wala hukunipa mimi mwana mbuzi wakati wo wote illi nifurahi pamoja na rafiki zangu.

Nae akamwambia, Mwanangu, wewe siku zote u pamoja nami, na vitu vyote nilivyo navyo ni vyako.

Tena kufanya furaha na kuona furaha kulikuwa wajib, kwa maana huyu ndugu yako alikuwa amekufa, nae amefufuka: alikuwa amepotea, nae ameonekana.

Yule Farisayo akasimama, akasali hivi kwa nafsi yake, Mungu, nakushukuru kwa sababu mimi si kama watu wengine, wanyangʼanyi, wazinzi, waia kama na huyu mtoza ushuru.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo