Luka 15:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192127 Akamwambia, Ndugu yako amekuja: na baba yako amemchinja yule ndama aliyenona kwa sababu amempata yu mzima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Huyo mtumishi akamwambia: ‘Ndugu yako amerudi nyumbani, na baba yako amemchinjia ndama mnono kwa kuwa amempata akiwa salama salimini.’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Huyo mtumishi akamwambia: ‘Ndugu yako amerudi nyumbani, na baba yako amemchinjia ndama mnono kwa kuwa amempata akiwa salama salimini.’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Huyo mtumishi akamwambia: ‘Ndugu yako amerudi nyumbani, na baba yako amemchinjia ndama mnono kwa kuwa amempata akiwa salama salimini.’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Akamwambia, ‘Ndugu yako amekuja, naye baba yako amemchinjia ndama aliyenona kwa sababu mwanawe amerudi nyumbani akiwa salama na mzima.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Akamwambia, ‘Ndugu yako amekuja, naye baba yako amemchinjia ndama aliyenona kwa sababu mwanawe amerudi nyumbani akiwa salama na mzima.’ Tazama sura |