Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 15:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Akamwita mmojawapo wa watumishi wake akamwuliza khabari, Mambo bayo, maana yake nini?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Akamwita mmoja wa watumishi, akamwuliza: ‘Kuna nini?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Akamwita mmoja wa watumishi, akamwuliza: ‘Kuna nini?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Akamwita mmoja wa watumishi, akamwuliza: ‘Kuna nini?’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Akamwita mmoja wa watumishi na kumuuliza maana ya mambo yale.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Akamwita mmoja wa watumishi na kumuuliza, ‘Kuna nini?’

Tazama sura Nakili




Luka 15:26
4 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, yule mwanawe mkubwa alikuwa shamba, na alipokuwa akija na kuikaribia nyumba, akasikia sauti ya kuimba na kucheza.


Akamwambia, Ndugu yako amekuja: na baba yako amemchinja yule ndama aliyenona kwa sababu amempata yu mzima.


Aliposikia makutano yanapita, akauliza khabari, Kuna nini?


Wakashangaa wote wakaingiwa na mashaka, wakaambiana, Maana yake nini mambo haya?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo