Luka 15:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192123 Kamleteni yule ndama aliyenona, mkamchinje: tukale na kufurahi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Mchinjeni ndama mnono; tule na kusherehekea! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Mchinjeni ndama mnono; tule na kusherehekea! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Mchinjeni ndama mnono; tule na kusherehekea! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Leteni ndama aliyenona, mkamchinje ili tuwe na karamu, tule na kufurahi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Leteni ndama aliyenona, mkamchinje ili tuwe na karamu, tule na kufurahi. Tazama sura |