Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 15:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Mafarisayo na wandishi wakanungʼunika, wakasema, Huyu hukaribisha wenye dhambi, hula pamoja nao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Mafarisayo na waalimu wa sheria wakaanza kunungunika: “Mtazameni mtu huyu! Anawakaribisha wenye dhambi, na tena anakula nao.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Mafarisayo na waalimu wa sheria wakaanza kunungunika: “Mtazameni mtu huyu! Anawakaribisha wenye dhambi, na tena anakula nao.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Mafarisayo na waalimu wa sheria wakaanza kunung'unika: “Mtazameni mtu huyu! Anawakaribisha wenye dhambi, na tena anakula nao.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Lakini Mafarisayo na walimu wa Torati wakanung’unika wakisema, “Huyu mtu anawakaribisha wenye dhambi na kula nao.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Lakini Mafarisayo na walimu wa Torati wakanung’unika wakisema, “Huyu mtu anawakaribisha wenye dhambi na kula nao.”

Tazama sura Nakili




Luka 15:2
12 Marejeleo ya Msalaba  

Mwana wa Adamu alikuja, akila na kunywa, wakanena, Mlafi huyu, na mnywa mvinyo, rafiki wa watoza ushuru na wenye dhambi! Na hekima imepewa haki na watoto wake.


Mafarisayo walipoona, wakawaambia wanafunzi wake, Kwa nini mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?


Akawaambia mfano huu, akisema,


Hatta watu walipoona wakanungʼunika wote, wakisema, ya kama, Ameingia akae kwa mtu mwenye dhambi.


Mafarisayo na waandishi wao wakawanungʼunikia wanafunzi wake, wakisema, Kwa nini mnakula na kunywa pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?


Mwana wa Adamu amekuja, anakula na kunywa, mkasema, Mlafi huyu, na mnywaji wa mvinyo, rafiki wa watoza ushuru na wenye dhambi.


Yule Farisayo aliyemwalika, alipoona haya akasema kimoyomoyo, akinena, Mtu huyu kama angekuwa nabii, angalimjua huyu ni nani! na ni mwanamke gani anaemgusa, ya kuwa ni mwenye dhambi.


Uliingia kwa watu wasiotahiriwa ukala nao.


kwa maana kabla hawajaja watu kadha wa kadha waliotoka kwa Yakobo, alikula pamoja na watu wa mataifa, illakini walipokuja akarudi nyuma akajitenga, akiwaogopa waliotahiriwa.


Ni neno la kuaminiwa, listahililo kukubaliwa na watu wote, ya kwamba Kristo Yesu alikuja ulimwenguni, awaokoe wenye dhambi; na mimi wa kwanza wao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo