Luka 15:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192116 Akawa akitamani kujishihisha tumbo lake kwa maganda yale waliyokula nguruwe: wala hapana mtu aliyemna kitu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Alitamani kula maganda waliyokula wale nguruwe, ila hakuna mtu aliyempa kitu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Alitamani kula maganda waliyokula wale nguruwe, ila hakuna mtu aliyempa kitu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Alitamani kula maganda waliyokula wale nguruwe, ila hakuna mtu aliyempa kitu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Akatamani kujishibisha kwa maganda waliyokula wale nguruwe, wala hakuna mtu aliyempa chochote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Akatamani kujishibisha kwa maganda waliyokula wale nguruwe, wala hakuna mtu aliyempa chochote. Tazama sura |