Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 15:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Akaenda akashikamana na mmojawapo wa wenyeji wa inchi ile, nae akampeleka shambani kwake, kulisha nguruwe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Akaomba kazi kwa mwananchi mmoja wa huko naye akampeleka shambani mwake kulisha nguruwe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Akaomba kazi kwa mwananchi mmoja wa huko naye akampeleka shambani mwake kulisha nguruwe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Akaomba kazi kwa mwananchi mmoja wa huko naye akampeleka shambani mwake kulisha nguruwe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Kwa hiyo akaenda akaajiriwa na raia mmoja wa nchi ile ambaye alimpeleka shambani kwake kulisha nguruwe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Kwa hiyo akaenda akaajiriwa na mwenyeji mmoja wa nchi ile ambaye alimpeleka shambani kwake kulisha nguruwe.

Tazama sura Nakili




Luka 15:15
27 Marejeleo ya Msalaba  

Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararueni.


Hatta baada ya siku si nyingi yule mdogo akakusanya vitu vyake vyote, akasafiri kwenda inchi ya mbali: akatapanya huko mali zake kwa maisha ya uasharati.


Alipokwisha kutumia vyote njaa kuu ikaingia inchi ile, yeye nae akaanza kuhitaji.


Akawa akitamani kujishihisha tumbo lake kwa maganda yale waliyokula nguruwe: wala hapana mtu aliyemna kitu.


Lakini sasa mkiisha kuandikwa huru, na kuwa mbali ya dhambi, na kufanywa watumwa wa Mungu, faida yenu mnayo, ndio kutakaswa, na mwisho wake uzima wa milele.


Maana hapo zamani sisi nasi tulikuwa hatuna akili, maasi, tumedanganywa, tukitumikia tamaa na anasa za namna nyingi, tukienenda katika uovu na husuda, tukichukiza na kuchukiana.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo