Luka 15:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192114 Alipokwisha kutumia vyote njaa kuu ikaingia inchi ile, yeye nae akaanza kuhitaji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Alipomaliza kutumia kila kitu, kukatokea njaa kali katika nchi ile, naye akaanza kuhangaika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Alipomaliza kutumia kila kitu, kukatokea njaa kali katika nchi ile, naye akaanza kuhangaika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Alipomaliza kutumia kila kitu, kukatokea njaa kali katika nchi ile, naye akaanza kuhangaika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Baada ya kutumia kila kitu alichokuwa nacho, kukawa na njaa kali katika nchi ile yote, naye akawa hana chochote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Baada ya kutumia kila kitu alichokuwa nacho, kukawa na njaa kali katika nchi ile yote, naye akawa hana chochote. Tazama sura |