Luka 15:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192112 Yule aliye mdogo akamwambia baba yake, Baba, nipe sehemu ya mali iniangukiayo. Akawagawanyia vitu vyake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Yule mdogo alimwambia baba yake: ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Naye akawagawia mali yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Yule mdogo alimwambia baba yake: ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Naye akawagawia mali yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Yule mdogo alimwambia baba yake: ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Naye akawagawia mali yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Yule mdogo akamwambia baba yake, ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Hivyo akawagawia wanawe mali yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Yule mdogo akamwambia baba yake, ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Hivyo akawagawia wanawe mali yake. Tazama sura |