Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 15:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 BASSI watoza ushuru wote na wenye dhambi walikuwa wakimkaribia kumsikiliza.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Siku moja, watozaushuru na wenye dhambi wengi walikwenda kumsikiliza Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Siku moja, watozaushuru na wenye dhambi wengi walikwenda kumsikiliza Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Siku moja, watozaushuru na wenye dhambi wengi walikwenda kumsikiliza Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Basi watoza ushuru na wenye dhambi wote walikuwa wanakusanyika ili wapate kumsikiliza Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Basi watoza ushuru na wenye dhambi wote walikuwa wanakusanyika ili wapate kumsikiliza Isa.

Tazama sura Nakili

Luka 15:1
9 Marejeleo ya Msalaba  

Maana mkiwapenda wanaowapendani, mwapata thawabu gani? Hatta watoza ushuru, je, nao hawafanyi yayo hayo?

Kafahamuni, wako wa mwisho watakaokuwa wa kwanza, na wako wa kwanza watakaokuwa wa mwisho.

Watu wote na watoza ushuru waliposikia wakampa Mungu haki, kwa kuwa wamebatizwa kwa ubatizo wa Yohana.

Sharia iliingia illi anguko lile liwe kubwa sana; na dhambi ilipozidi, neema ilikuwa nyingi zaidi;

Ni neno la kuaminiwa, listahililo kukubaliwa na watu wote, ya kwamba Kristo Yesu alikuja ulimwenguni, awaokoe wenye dhambi; na mimi wa kwanza wao.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo