Luka 14:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 Ukiitwa na mtu arusini, usiketi katika kiti cha kwanza, isiwe labda mwenye sifa kupita zako amekwitwa nae, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 “Kama mtu akikualika harusini, usiketi mahali pa heshima, isije ikawa amealikwa mwingine mheshimiwa kuliko wewe; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 “Kama mtu akikualika harusini, usiketi mahali pa heshima, isije ikawa amealikwa mwingine mheshimiwa kuliko wewe; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 “Kama mtu akikualika harusini, usiketi mahali pa heshima, isije ikawa amealikwa mwingine mheshimiwa kuliko wewe; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 “Mtu akikualika arusini, usikae mahali pa mgeni wa heshima kwa kuwa inawezekana amealikwa mtu mheshimiwa kuliko wewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 “Mtu akikualika arusini, usikae mahali pa mgeni wa heshima kwa kuwa inawezekana amealikwa mtu mheshimiwa kuliko wewe. Tazama sura |