Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 14:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Akamtwaa, akamponya, akamrukhusu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Lakini wao wakakaa kimya. Yesu akamshika huyo mgonjwa, akamponya, akamwacha aende zake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Lakini wao wakakaa kimya. Yesu akamshika huyo mgonjwa, akamponya, akamwacha aende zake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Lakini wao wakakaa kimya. Yesu akamshika huyo mgonjwa, akamponya, akamwacha aende zake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Wakakaa kimya. Hivyo Isa akamshika yule mgonjwa mkono na kumponya, akamruhusu aende zake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Wakakaa kimya. Hivyo Isa akamshika yule mgonjwa mkono na kumponya, akamruhusu aende zake.

Tazama sura Nakili

Luka 14:4
4 Marejeleo ya Msalaba  

Hakuweza mtu kumjibu neno; wala hakuthubutu mtu tangu siku ile kumwuliza neno tena.

Yesu akajibu akawaambia wana sharia na Mafarisayo, akisema, Je? ni halali kuponya siku ya sabato, ama sivyo? Wakanyamaza.

Akajibu akawaambia, Nani wenu mwenye punda au ngʼombe ametumbukia kisimani, asiyemwondoa marra moja siku ya sabato?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo