Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 14:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 Mtu huyu alianza kujenga, akawa hana nguvu za kumaliza.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 wakisema: ‘Mtu huyu alianza kujenga, lakini hakumalizia.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 wakisema: ‘Mtu huyu alianza kujenga, lakini hakumalizia.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 wakisema: ‘Mtu huyu alianza kujenga, lakini hakumalizia.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 wakisema, ‘Mtu huyu alianza kujenga lakini hakuweza kukamilisha.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 wakisema, ‘Mtu huyu alianza kujenga lakini hakuweza kukamilisha.’

Tazama sura Nakili




Luka 14:30
11 Marejeleo ya Msalaba  

mvua ikanya, maji mengi yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile, ikaanguka; anguko lake likawa kubwa.


Asije akawa hawezi kuumaliza baada ya kuweka msingi, watu wote wakaanza kumdhihaki, wakisema,


Au mfalme gani, kama anakwenda kupigana na mfalme mwingine, asiyeketi kwanza na kufanya shauri kwamba yeye pamoja na watu elfu kumi ataweza kukutana nae anaemjia pamoja na watu elfu ishirini?


Lakini mwenye haki ataishi kwa imani; nae akisitasita, roho yangu haina furaha nae.


Nasi twataka killa mmoja wenu aidhihirishe bidii ile ile, kwa utimilifu wa matumaini hatta mwisho;


Jiangalieni nafsi zenu msiyapoteze mliyoyatenda, bali mpokee thawabu timilifu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo