Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 14:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Yesu akajibu akawaambia wana sharia na Mafarisayo, akisema, Je? ni halali kuponya siku ya sabato, ama sivyo? Wakanyamaza.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Yesu akawauliza waalimu wa sheria na Mafarisayo, “Je, ni halali au la kumponya mtu siku ya Sabato?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Yesu akawauliza waalimu wa sheria na Mafarisayo, “Je, ni halali au la kumponya mtu siku ya Sabato?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Yesu akawauliza waalimu wa sheria na Mafarisayo, “Je, ni halali au la kumponya mtu siku ya Sabato?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Isa akawauliza wale Mafarisayo na walimu wa Torati, “Je, ni halali kuponya watu siku ya Sabato au la?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Isa akawauliza wale Mafarisayo na walimu wa Torati, “Je, ni halali kuponya watu siku ya Sabato au la?”

Tazama sura Nakili

Luka 14:3
10 Marejeleo ya Msalaba  

Na tazama mtu mwenye mkono umepooza, wakamwuliza, wakinena, Ni halali kuponya watu siku ya sabato? wapate kumshtaki.

Na Mafarisayo walipoona, wakamwambia, Tazama! wanafunzi wako wanatenda lililo haramu kutenda siku ya sabato.

Mmoja wao, mwana sharia, akamwuliza, akimjaribu; akinena,

Akawaambia, Ni halali siku ya sabato kutenda mema, au kutenda mabaya? kuokoa roho au kuua? Wakanyamaza.

Bassi mbele yake palikuwa mtu hawezi safura.

Akamtwaa, akamponya, akamrukhusu.

Yesu akawaambia, Nitawaulizeni neno moja. Ni halali siku ya Sabato kutenda mema au kutenda mabaya? kuokoa roho au kuua?

Bassi ikiwa mtu apashwa tohara siku ya sabato, torati ya Musa isije ikavunjika, mbona mnanikasirikia kwa sababu nalimfanya mtu kuwa mzima kabisa siku ya sabato?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo